koroberaga rakuu
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 113
- 65
Maisha Yakiamua Kukukomesha Bhana.. Unaweza Ukafanya Biashara ya Kugawa Hela Na Usipate Wateja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi imeisha nini?Maisha Yakiamua Kukukomesha Bhana.. Unaweza Ukafanya Biashara ya Kugawa Hela Na Usipate Wateja.View attachment 1240195
Sasa man u kapigwa na newcastle naye ni big 6??Bado najaribu kuangalia timu za big 6 zitakazofungwa na Chelsea basi itakuwa aibu ya mwaka.Ligi hii Ya England bado sana.Man u tumecheza na top four 3 kati ya 4 Chelsea bado hajacheza nyingi na hapo tukishinda mechi 3 mfululizo tunaweza kuwa nafasi ya 5.Arsenal Jana amezembea angeshinda angeenda hadi nafasi ya 3 nyuma ya man c na.Liva.Ligi bado na maajabu yanaendelea.
Bado najaribu kuangalia timu za big 6 zitakazofungwa na Chelsea basi itakuwa aibu ya mwaka.Ligi hii Ya England bado sana.Man u tumecheza na top four 3 kati ya 4 Chelsea bado hajacheza nyingi na hapo tukishinda mechi 3 mfululizo tunaweza kuwa nafasi ya 5.Arsenal Jana amezembea angeshinda angeenda hadi nafasi ya 3 nyuma ya man c na.Liva.Ligi bado na maajabu yanaendelea.
Hujanielewa.Ligi ya England haitabiriki.Hata Livapool anaweza kuporomoka hata kutamtia mashaka kuwania ubingwa.Kwa hiyo huwezi kuituhumu man u kuwa itafanya vibaya Kwa point zilivyo mtu akishinda mechi 3 tu anakuwa amepanda sana bila kujali matokeo ya wengine waliojuu.Japo timu ikiendelea kuwa na matokeo mabovu ukianza kushinda unaweza kushinda hata mechi 8 na bado ukabaki nafasi ulipo.Sasa man u kapigwa na newcastle naye ni big 6??
Vip wolves na everton atapona kweli
Man u ni mbovu tu labda kocha abadilishwe
Acha kuilinganisha Chelsea na vitu vya ajabu ajabu tafadhali sana usirudie tena siku nyingineHujanielewa.Ligi ya England haitabiriki.Hata Livapool anaweza kuporomoka hata kutamtia mashaka kuwania ubingwa.Kwa hiyo huwezi kuituhumu man u kuwa itafanya vibaya Kwa point zilivyo mtu akishinda mechi 3 tu anakuwa amepanda sana bila kujali matokeo ya wengine waliojuu.Japo timu ikiendelea kuwa na matokeo mabovu ukianza kushinda unaweza kushinda hata mechi 8 na bado ukabaki nafasi ulipo.
CHELSEA Arsenal ,Tot na Man u zote ni mbovu.Hakuna wa kumcheka mwenzie.Liva na Man city wametupiga gepu kubwa kila idara.
Acha upuuz wa kulinganisha team iliyoko top 4 na team iliyoko top 15pipa linaucheka mfuniko.... kwani chelsea wanaizidi points ngapi man u??
Chelsea kila siku inazid kuimarika wakati woman's United kila siku inazidi kuporomokapipa linaucheka mfuniko.... kwani chelsea wanaizidi points ngapi man u??
mpuuzi ni mama yako.Acha upuuz wa kulinganisha team iliyoko top 4 na team iliyoko top 15