Manchester United kilichobaki ni kuifunga Chelsea goli 4

koroberaga rakuu

Senior Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
113
Reaction score
65
Maisha Yakiamua Kukukomesha Bhana.. Unaweza Ukafanya Biashara ya Kugawa Hela Na Usipate Wateja.
IMG_20191021_171714.jpeg
 
Bado najaribu kuangalia timu za big 6 zitakazofungwa na Chelsea basi itakuwa aibu ya mwaka.Ligi hii Ya England bado sana.Man u tumecheza na top four 3 kati ya 4 Chelsea bado hajacheza nyingi na hapo tukishinda mechi 3 mfululizo tunaweza kuwa nafasi ya 5.Arsenal Jana amezembea angeshinda angeenda hadi nafasi ya 3 nyuma ya man c na.Liva.Ligi bado na maajabu yanaendelea.
 
Sasa man u kapigwa na newcastle naye ni big 6??

Vip wolves na everton atapona kweli

Man u ni mbovu tu labda kocha abadilishwe
 
Kwahiyo utakapokuwa unashinda hizo mechi tatu mfulilizo sisi Chelsea tutakuwa tumelala?
Bado najaribu kuangalia timu za big 6 zitakazofungwa na Chelsea basi itakuwa aibu ya mwaka.Ligi hii Ya England bado sana.Man u tumecheza na top four 3 kati ya 4 Chelsea bado hajacheza nyingi na hapo tukishinda mechi 3 mfululizo tunaweza kuwa nafasi ya 5.Arsenal Jana amezembea angeshinda angeenda hadi nafasi ya 3 nyuma ya man c na.Liva.Ligi bado na maajabu yanaendelea.
 
Sijaiona bado Man U ya kuifunga Chelsea goli 4!
Wakipata hata sare tu, utakuwa ni ushindi tosha kwao. Chelsea ya sasa ni Fire! Haina utani na timu za hovyo hovyo.
 
Sasa man u kapigwa na newcastle naye ni big 6??

Vip wolves na everton atapona kweli

Man u ni mbovu tu labda kocha abadilishwe
Hujanielewa.Ligi ya England haitabiriki.Hata Livapool anaweza kuporomoka hata kutamtia mashaka kuwania ubingwa.Kwa hiyo huwezi kuituhumu man u kuwa itafanya vibaya Kwa point zilivyo mtu akishinda mechi 3 tu anakuwa amepanda sana bila kujali matokeo ya wengine waliojuu.Japo timu ikiendelea kuwa na matokeo mabovu ukianza kushinda unaweza kushinda hata mechi 8 na bado ukabaki nafasi ulipo.

CHELSEA Arsenal ,Tot na Man u zote ni mbovu.Hakuna wa kumcheka mwenzie.Liva na Man city wametupiga gepu kubwa kila idara.
 
pipa linaucheka mfuniko.... kwani chelsea wanaizidi points ngapi man u??
 
Man U ni timu mbovu kwa sasa huo ndio ukweli ni sawa tu na Yanga hapa. Man U kwa alivyo hana uwezo wa kutinga top four.

The team lacks consistency and cohesion and on top of that the couch does not have abilities and experience to manage a side of Manchester United calibre. The team relies more on luck to win than potential.
 
Hujanielewa.Ligi ya England haitabiriki.Hata Livapool anaweza kuporomoka hata kutamtia mashaka kuwania ubingwa.Kwa hiyo huwezi kuituhumu man u kuwa itafanya vibaya Kwa point zilivyo mtu akishinda mechi 3 tu anakuwa amepanda sana bila kujali matokeo ya wengine waliojuu.Japo timu ikiendelea kuwa na matokeo mabovu ukianza kushinda unaweza kushinda hata mechi 8 na bado ukabaki nafasi ulipo.

CHELSEA Arsenal ,Tot na Man u zote ni mbovu.Hakuna wa kumcheka mwenzie.Liva na Man city wametupiga gepu kubwa kila idara.
Acha kuilinganisha Chelsea na vitu vya ajabu ajabu tafadhali sana usirudie tena siku nyingine
 
Wiki hii woman united akifungwa tunamwokotea top 3 za kushuka daraja. Maana timi hizo kazizid point moja hadi tatu
 
Back
Top Bottom