samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Arudi kufundisha mzee fergie tu hakuna mwingine pale, wote ni upepo tu majanga mtalia sana mwaka huu, huyo ole masai guna ameshindwa asubuhi tu.asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arudi kufundisha mzee fergie tu hakuna mwingine pale, wote ni upepo tu majanga mtalia sana mwaka huu, huyo ole masai guna ameshindwa asubuhi tu.asanteni
Tofauti ipo. Mmoja anaishi kwenye ukweli (Fergie) mwengine anaishi kwenye ndoto (Ole). Babu fergie hataki masikhara kazini, muulize Beckham, na u star wake lakini hasahau aliporushiwa kiatu na Babu Fergie, Ole atayaweza wapi? Kung'ang'ania wachezaji walokuwa hawataki kucheza Man Utd tu!Hakuna tofauti kati ya fergie na ole.Rejea Fergie alipokabidhiwa timu alikaa misimu mingapi kabla ya kuanza kutwaa mataji.Huyu huyu au Giggs full stop.Hawa ndo wanajua falsafa ya timu.Mambo ya kuwa na makocha wanaogeuza washumbuliaji wawe beki nani anataka?.
Tofauti ipo. Mmoja anaishi kwenye ukweli (Fergie) mwengine anaishi kwenye ndoto (Ole). Babu fergie hataki masikhara kazini, muulize Beckham, na u star wake lakini hasahau aliporushiwa kiatu na Babu Fergie, Ole atayaweza wapi? Kung'ang'ania wachezaji walokuwa hawataki kucheza Man Utd tu!
We unamuona yupo serious? Mtu unamuona hataki kuchezea manutd wewe unaendelea kumpanga, utakuwa upo serious?Ole anataka masikhara kazini?
Mbona wamekuja mara mbili? Umesahau man UTD ya sir Busby? Iliojaa Vitoto Kama class of 92? Iliobeba Uefa na ligi za kutosha? iliotoa baloon D or wachezaji watatu tofauti ndani ya muda machache? Ilipokuwa na Watu Kama George best, Denis law na Sir Bobby Charlton?ManU ndo basi tena. Ktk dunia hii akina Alex Ferguson huwa hawaji wawili wawili. Hata wale vijana wa academy (Class of 92) - Beckham, Giggs, Scholes, Gary & Phil Neville na Nicky Butt huwa hawaji mara mbili mbili. Angalia Liverpool - takriban miaka 30 sasa tangu walipokuwa wakitamba ktk miaka ya 80 - wanashindwa kuchukua kombe la Premier League. ManU ni miaka 6 tu sasa wanahangaika.
Kwamba hawez himili presha auKwa umri wa fergie akirudi ile nafasi basi tutampoteza mazima