Manchester United kusuasua dawa hii hapa

Manchester United kusuasua dawa hii hapa

Mourinho ndiye aliyekuwa kocha sahihi.

Man untd haihitaji average coaches kwa sababu ina pressure kubwa
 
Rashford awe anaanzia Benchi awe anabadilishana na James

Martial aingie kati Akipokezana na Greenwood

Pogba pemben Fred akae kati McTom

Dalot apnde upande wa kulia Mbele..
Awe anapokezana na pereira Wakati tukisubir kufanya usajili mwez wa kwanza.!
 
Arudi kufundisha mzee fergie tu hakuna mwingine pale, wote ni upepo tu majanga mtalia sana mwaka huu, huyo ole masai guna ameshindwa asubuhi tu.asanteni
timu au kitu chochote kikufikia mafanikio ya mwisho/climax lazima kishuke, mfano ni liverpool ilitesa sana england lakini hadi leo wana miaka zaidi ya 20 hawajachukua ubingwa england wamechukua mara 18 manchester united mara 20 sasa wameanguka hawachukui leo wala kesho,hadi miaka kadhaa
 
Rashford awe anaanzia Benchi awe anabadilishana na James

Martial aingie kati Akipokezana na Greenwood

Pogba pemben Fred akae kati McTom

Dalot apnde upande wa kulia Mbele..
Awe anapokezana na pereira Wakati tukisubir kufanya usajili mwez wa kwanza.!
mtapanga sana lakini haiwezekani! !
 
Back
Top Bottom