Manchester United reach agreement to sign Paul Pogba for world-record €110m fee

Manchester United reach agreement to sign Paul Pogba for world-record €110m fee

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
paul-pogba-juventus_toje2d0drsns1wy71zxi34mno.jpg

Manchester United have agreed a world record deal to sign Paul Pogba for €110 million, Goal understands.

Officials from the Premier League club met with their Juventus counterparts earlier on Wednesday to discuss a deal to bring Pogba back to Old Trafford.

It is now understood that United have settled on a fee of €110m for Pogba, which eclipses the previous record set when Real Madrid paid €100m for Gareth Bale in 2013.
The France international will sign a five-year contract for the Red Devils.

Pogba had also been linked with the likes of Real, but they were priced out of a move and the France international was happy to leave Juventus after weighing up his options.

The midfielder is said to be ready to accept a €13m annual salary at Old Trafford, which would almost treble the wages he is currently earning at Juventus.

He originally left United for Juventus four years ago due to a lack of first-team opportunities, but his imminent return to the club will cap a busy start in the transfer market for new boss Jose Mourinho.
United have already added Eric Bailly, Henrikh Mkhitaryan and Zlatan Ibrahimovic to their squad, with Mourinho keen to get his major business tied up as quickly as possible.
 
Ni nguvu ya shirt sponsor tu ADIDAS!!!!! anaye amini kuwa atauza jezi zaidi huyo Pogba akienda ManU. Wote Juventus na ManU shirt sponsor wao ndie huyohuyo.

Ikumbukwe kuwa China kuna supporters wengi sana wa ManU na tayari jezi za Pogba zishachapishwa kwa uzi wa ManU ambao wako huko kwa pre season na as soon as inatangazwa kasainiwa jezi zinaingia sokoni na hela kurudi.

A pure marketing move na sio footballing move.
 
Mambo ya EdWoodward

1469098541405.jpg
 
Ukiona Madrid wamejitoa kwenye mbio jua kuwa unachukua flop
 
Duuh kuna watu hizo hela zinawauma utadhan wanchangia vijisenti vyao.. Jaman sisi kazi yetu ni kushangweka tu.. Wach mourinho achukue ambao anaona yeye anaweza kufanya nao kazi na wakaleta +ve impact, tusilazimishe vitu ambavo havipo. Hata kama pogba ni wa kawaida kwan mourinho hajaona wengine?? Mou anaamin kua kijana ataleta mabadiliko so tusubir wal tusiwe na was.... madrid wamemtaka ila wameshindwa bei. Ndo raha ya kushabikia club tajiri..
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ligi zote za ndan ya uingireza man u anaahiriki kombe gani kubwa?
 
€110 is too much for a single player,regardless of them books of accounts.Kama mdau wa Man U kwangu haijakaa njema.
 
Ila Man U wajinga

ukiyasikiliza maneno ya mkurugenz mtendaji wa man utd utajuta kuandika hako ka bandiko jamaa kwanza anaangalia biashara tayar kishavuta tenshen ya hiyo pesa waliyoweka kwa pogba hujuiliz kwa nini man utd ni club ya 3 kwa utajir duniani inashindana na madrid + barcelona wanaobeba vikombe europe pale kwanza jez zinauzwa kupitia pogba makampun makubwa yataendelea kuwa na iman na utd kibiasha sio sawa na xhaka au benteke au james wilson.
 
€110 is too much for a single player,regardless of them books of accounts.Kama mdau wa Man U kwangu haijakaa njema.

hata martial yalikuwa hivi hivi mwisho wa siku watu wakajificha wenzio hawaangalii uwanjani pia hata kibiasha kumbuka adidas wametia mpunga wa maana pale ulitaka wamchukue xhaka?
 
Mkuu ligi zote za ndan ya uingireza man u anaahiriki kombe gani kubwa?
Sasa hilo swali lako lina uhusiano gan na post yangu? Kununua mchezaji kwa gharama kubwa kuna uhusiank gan na kushiriki ligi kubwa...?
Nieleze vizur labda mimi cjui.. ?
 
hata martial yalikuwa hivi hivi mwisho wa siku watu wakajificha wenzio hawaangalii uwanjani pia hata kibiasha kumbuka adidas wametia mpunga wa maana pale ulitaka wamchukue xhaka?
I know,.........kupenda ama kutopenda kwangu hatua itayochukuliwa, haitawabidilisha msimamo wao....I'm Just expressing my opinion.
 
Euro milioni 110???
Si bora wangemchukua Higuain pesa iyo...

Kama ni hivyo basi Mfalme atauzwa kwa Euro Billion Moja!
 
Euro milioni 110???
Si bora wangemchukua Higuain pesa iyo...

Kama ni hivyo basi Mfalme atauzwa kwa Euro Billion Moja!

Mtanzania kwa kuboresha mambo!!! Kwamba uongozi wote wa man utd hawana akili vp mzigo barca waliotia kwa song na turan kufeli au kufanikiwa ni sehemu ya biashara.
 
Back
Top Bottom