Hapa kwenye physical aspect na ku-track back amesema kweli ambayo kila shabiki wa United anaiona kila siku kwenye mechi zetu. Lakini 10Hag yeye alikuwa anajali kushinda carabao tu mwisho wa msimu.
Pambio zimeaanza mapema sana wakuuu ngoja tuone wameshapita wengi sana na pambio zilikuwa kibao ila mwisho wa msimu hesabu mezani faida hakuna hasara kiabao
 
Ila huyu mjukuu wa vasco da gama uwezakano wa kuwa mzaramu Ni mkubwaπŸ˜€

Wiki mbili zote anapepeta mdomo tu mazoezi aaaa

Niliona juzi imerushwa clip wanakabana na Evans

Yeye analipwa mshahara kufundisha wachezaji yeye anajifanya mchezaji

Huyu akfka Christmas mniite gaidiπŸ˜…
 
Hujui umeandika nini, ndio maana makocha wakiwa mazoezini huvaa track au bukta na sio suti
 
Ndugu yangu allypipi leo team la dunia lipo uwanjani, nashangaa mpaka muda huu haujatuwekea prediction yeyote, vipi bado unasoma kwanza upepo wa kocha bora of season, kocha lenye Ballon d'Or yake kwenye sector of techniques ya kuwin makombe makubwa makubwa.
 
Kikosi cha Bwenyenye Sir Jim barobaro boys wanashuka leo hawa hapa twende nalo πŸ’ͺ

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction

Ipswich Town 1 vs Manchester United 4

watapigwa sana hawa wakora.

 
Huyu mjinga Rashford kaaminiwa kwa mara nyingine! Sijui sisi tunakosea wapi kumuangalia kiubora.

Ila ninaamini dakika 90 hamalizi na atakuwa sokoni mwishoni wa msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…