King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Huko Manchester city anashenyentwa vibaya na Tottenham.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamempa 4G aisee!Huko Manchester city anashenyentwa vibaya na Tottenham.
Pambio zimeaanza mapema sana wakuuu ngoja tuone wameshapita wengi sana na pambio zilikuwa kibao ila mwisho wa msimu hesabu mezani faida hakuna hasara kiabaoHapa kwenye physical aspect na ku-track back amesema kweli ambayo kila shabiki wa United anaiona kila siku kwenye mechi zetu. Lakini 10Hag yeye alikuwa anajali kushinda carabao tu mwisho wa msimu.
Hujui umeandika nini, ndio maana makocha wakiwa mazoezini huvaa track au bukta na sio sutiIla huyu mjukuu wa vasco da gama uwezakano wa kuwa mzaramu Ni mkubwa😀
Wiki mbili zote anapepeta mdomo tu mazoezi aaaa
Niliona juzi imerushwa clip wanakabana na Evans
Yeye analipwa mshahara kufundisha wachezaji yeye anajifanya mchezaji
Huyu akfka Christmas mniite gaidi😅
Karibuni mshuhudie mechi ya kimbinu toka kwa super Amorin.Kipigo cha kwanza kwa Amorim
Hua napenda kuona matumaini yenu yanavyoyayuka na kuanza matusi.Karibuni mshuhudie mechi ya kimbinu toka kwa super Amorin.
Sasa hivi hata draw mtakuwa hampati dhidi ya united. Iwe kwenu au matofalini.
Umeanza 😅Huyu mjinga Rashford kaaminiwa kwa mara nyingine! Sijui sisi tunakosea wapi kumuangalia kiubora.
Ila ninaamini dakika 90 hamalizi na atakuwa sokoni mwishoni wa msimu.
Amorin is the Chosen One, yule Moyes tuliingizwa mkenge na mScot mwenzie.Hua napenda kuona matumaini yenu yanavyoyayuka na kuanza matusi.