Manchester United (Red Devils) | Special Thread
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Screenshot_20241226_225247_FotMob.jpg
 
Kuna watu hawana bahati duniani.

Mfano Pele, alikua akisema timu Fulani inashinda basi ujue inapigwa.
Akisema Timu hii inachukua kombe basi hata makundi haivuki.

Hii bahati mbaya ndiyo anayo alipipi. Mzuieni asiendelee kutabiri matokeo in favour ya united, bora atabiri mnafungwa ili awe kafanya kinyume
Halafu hachokagi kutabiri😂😂😂, huwa anamalizia tabiri yake na leo man u inacheza dunia yote inafuraha. Wanaishia kukandwa.
 
Back
Top Bottom