"Mawinga" watatu makini wako nje (Garna, Rash, Anthony) halafu unaweka mtu hajawahi kuxheza winga toka azaliwe (Zirkzee) na unategemea kushinda. Huyu kocha ni mbwa tu.
Dakika ya 33 hii commentator anasema watu wa mpira wameshangaa sana Zirkze anaanza na hao watatu wako nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…