Manchester United (Red Devils) | Special Thread
NYUMBU tunaangamia
Yule jamaa aliekuwa anasema kipara ni jasusi huenda anajua mengi yaliopo nyuma.
1735590640240.jpeg
 
"Mawinga" watatu makini wako nje (Garna, Rash, Anthony) halafu unaweka mtu hajawahi kuxheza winga toka azaliwe (Zirkzee) na unategemea kushinda. Huyu kocha ni mbwa tu.
Dakika ya 33 hii commentator anasema watu wa mpira wameshangaa sana Zirkze anaanza na hao watatu wako nje.
 
Back
Top Bottom