Hii timu, inatupa ugonjwa wa moyo!Brunooooooooooo....1-1
Onana anashambuliwa na kuonewa kwasababu ni mwafrika mweusi.Utd hatuna goli kipa saves ambazo De gea alikuwa anafanya ni nadra kuona Onana akifanya na hii ndio sababu tupo nafasi mbovu. Uongo mbaya De gea alikuwa anatubeba sana na timu yetu mbovu ETH katuleta tatizo lingine.