tafadhali toa picha ya ten hag pale mwanzoni
 
Achana na hizi habari, hujatabiri siku nyingi. Niko vibaya. nitabirie basi mechi moja tu ya UEFA ya leo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema huyu refa wa leo akipigwa vizuri atasema tu kabatini kwake ana jezi ngapi za Utd, kwani FA hawawezi kumpa ajira huyu jamaa naona anatufaa sana kwenye Epl.
Halafu kuna ile takataka pale mbele inatukaba wenyewe, Amorin asipoifanyia maamuzi magumu kwenye dirisha kubwa nina uhakika ndio itakayo mfukuzisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…