fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Kama kawaida yao Waingereza, mwendo huwa wanaumaliza mapema sana wanabaki kutembelea historia tu.Safari ya phil foden ndio imeishia hapa, sidhani kama atasogea tena juu kiuwezo.
Na club yoyote ili iwe na mafanikio kwa zama hizi, hawa jamaa ni wa kuwaweka mbali kabisa au wawe squad players na sio starters.
Wanalewa sifa haraka mno siku hizi. Angalia saga la man utd na dogo Mainoo kwenye kuongeza mkataba.
Media zao zinawaharibu sana kifikra.