Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Safari ya phil foden ndio imeishia hapa, sidhani kama atasogea tena juu kiuwezo.
Kama kawaida yao Waingereza, mwendo huwa wanaumaliza mapema sana wanabaki kutembelea historia tu.
Na club yoyote ili iwe na mafanikio kwa zama hizi, hawa jamaa ni wa kuwaweka mbali kabisa au wawe squad players na sio starters.
Wanalewa sifa haraka mno siku hizi. Angalia saga la man utd na dogo Mainoo kwenye kuongeza mkataba.

Media zao zinawaharibu sana kifikra.
 
1000549011.jpg
 
Ingekuwa ni Tanzania tungefanya kama Simba janaaa..🤣🤣🤣🤣 Maana leo arsenal wabovu ila watajiliaaa utamu hapa kirahisi sanaaa.
 
Man united leo tunamla asenyani pale pale OT kama kawaida yetu
 
Nikajua nyumbu watagoma kuingiza timu uwanjani kama SIMBA
Anyway acha ale chuma tatu kiafya
 
Hata ile MUFC ya akina Fellain haikuwa na kutokujiamini huku kwa MUFC hii ya sasa.
 
Okay okay one test mic, kasongo kwenye one and two. Tupigie huyo arsenyani tupunguze idadi ya game za kutangaza ubingwa wetu sie yakheee
 
[emoji30][emoji30][emoji30] Hizi nafasi za wazi tunazozipoteza tutakuja kuzijutia baada ya dakika 90 kumalizika.
Mazraoi na Zirkzee wamekosa magoli ya wazi mno, yaani mpaka dakika hii ubao ulikua unatakiwa usome Man Utd 3-0 Arsenyo.
 
Back
Top Bottom