Mkuu
King faisal kuanzia Edesron, Santos na hata huyu Kone ni panic buys kama ilivyo kawaida yetu. Hakuna mfuatiliaji yeyote wa EPL alikuwa haoni gap la Man Utd kwenye kiungo ila inaonekana hatukufanya maandalizi ya machaguo yanayoendana na uhitaji pamoja na gharama.
Msimu wake uliofuata Amorin aliainisha targets zake na akazipata cheaply na kwa wakati sahihi. Ila sasa naona kama tumerudi kwenye defaulty ya ile Man Utd ya akina OLE ya kuletewa yeyote anayepatikana.
Maana yake wanamfanyie Kone scouting kwenye hizi game za WC tena akiwa amezungukwa na world class players wa ufaransa