Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Hii nadharia inaweza kua kweliLeo tunaendelea kutest ile nadharia ya nyumbu na simba wakicheza siku moja hawawezi kushinda wote
Hii nadharia inaweza kua kweliLeo tunaendelea kutest ile nadharia ya nyumbu na simba wakicheza siku moja hawawezi kushinda wote
Kocha ndio tatizoBado tunaendeleza ujinga.
Bila kujali ubora wa kocha ila ukweli hamna wachezaji wamaana na hata Saini mlizofanya ni mbovu mmetoa pound 50 kwa Santos mkaa benchi mpaka leo mnaamini kwa Rashford ambaye ameshashindwa sijui Maguire,, Leandro Martinez,Yoro wote hawa ni average players mechi moja unatesa wow! mechi zingine unawakataa.saini nyingine ya kawaida ni Benjamin Sesko pale hamna mchezaji na ndio maana makocha hawamkubali.Hata mimi niliyepo huku Tanganyika niliona Carrick hafai toka mwanzo, lakini watu wapo hapohapo Manchester United Football Club, Sir Matt Busby Way, Old Trafford, Manchester, M16 0RA, United Kingdom na wakampa kandarasi! 🙃
Timu ilitakiwa ijengwe wakati babu kastaafu ila kwa sasa huu muda united hawanaSikujua km huyu Carrick ni bumunda hivi😁😁😁
lipo kwenye touchline linazubaa tu😬
Manchester United wamchukue yule mzee wa Bilbao Ernest valverde anautulivu na anajenga timu uku performance ya uwanjani haishuki sio yule muhuni conte
Huyu Bruno G ambaye mlikua mnalalamika hawawez kuanza pamoja na Ubwabwa??Kuna mchambua maharage mmoja alidai usajili wa Tielemans ni bonge la usajili kuliko Bruno Guimaraes.
Mimi kama shabiki wa simba na Mwanitesa United sikumbuki ni lini hizi team zilishinda kama zinacheza siku mojaHii nadharia inaweza kua kweli
Si unaona kilichotokea dhidi ya Brighton? Mpaka hii game bwana Arteta kamuachia dimba SkellyHuyu Bruno G ambaye mlikua mnalalamika hawawez kuanza pamoja na Ubwabwa??
Sasa mlimchukua aje kuwa sub😃Si unaona kilichotokea dhidi ya Brighton? Mpaka hii game bwana Arteta kamuachia dimba Skelly