Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja.Sasa mlimchukua aje kuwa sub😃
Patrick Udorgu😃😃Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja.
Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia?
Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master UnaiTimu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja.
Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia?
Usitufokee red starsKikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai
Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃
Hivi mpo uefa?Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai
Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃
Eeh tupo na campaign ya point moja kwa game next stop ni madridHivi mpo uefa?
Nilifikiri unadanganya. Kumbe kweli nimekuta mnakipiga na AtleticoEeh tupo na campaign ya point moja kwa game next stop ni madrid
Na hata hatuwaz tunafata point yetu moja tunalud zetu matofali ya kuchomaNilifikiri unadanganya. Kumbe kweli nimekuta mnakipiga na Atletico
Akikujibu ni tag 😂Huyu Bruno G ambaye mlikua mnalalamika hawawez kuanza pamoja na Ubwabwa??
Alijibu mkuu wamelipa £75 kwa ajili ya kuongeza upana wa kikosi😃Akikujibu ni tag 😂
Mmoja kashinda tayariLeo tena siku nyingine ya kuangalia kama simba na Man u wakicheza siku moja hawawezi shinda wote😃🤝
nyumbu bwana,yaani fasta tu mshakojolewa duuhDakika 1 tayari tumepigwa.