Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,297
- 16,573
Mwarabu koko😁Auziwe mwarabu maana waingereza mabahili mno
Mwarabu koko😁Auziwe mwarabu maana waingereza mabahili mno
Mabingwa wa pre season😂United bingwa wa epl msimu ujao
Tukapewa surprise 😂
Dah 😂Kwa hii pesa kunasa majembe matatu ni jambo jema , naona sasa devo tupo makini sana kupigwa kwenye sajili👏View attachment 3629008
😂 basi ngoja niwapumzishe 😁Vunga
Vunga bado mapema 😅😂 basi ngoja niwapumzishe 😁
Vipi hali mzee wangu?
Bado tupo kiongoziHetazi wamekimbia
Humu tuMe
Me Bora wamlete Henrique wa Psg au wamuache carrick...hao wengine ni average km arteta tu kuna sehemu watakwama in the long run tena haswa epl
Huyu hii minywele atakufa nayo
Hali ni mbaya sanaVipi hali mzee wangu?
Kikawaida anayeshindwa kufika alama 40 anashuka daraja😂😂Mwisho wa Msimu
Mechi 38
Points 38
Ataungana na kina Coventry 🤣Kikawaida anayeshindwa kufika alama 40 anashuka daraja😂😂