Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo la utd kwa sasa ni Carrick. Niliandika humu nadhani sasa zimeshapita mechi saba toka niweke comment yangu ya kuwa utd hawatashinda mechi yoyoye zaidi ya sare hadi pale Carrick atakapo ondoka.

Pamoja na kuwa wamiliki wa timu wanaweza kuwa na matatizo yao ila Carrick hawezi acha kubeba lawama ya kuwakosea heshima wachezaji wake walioirudisha timu UEFA na kumfanya yeye apewe timu. Yafuatayo ndio makosa aliyofanya Carrick ambayo sasa yanamggarimu.
1. Kusema kuwa yupo tayari na anavutiwa kufanya kazi na Rashford mtu ambaye alikuwa ni tatizo na alishapoteza namba utd.
2. Kumrudisha Rashford utd mchezaji ambaye aliforce kubaki Barca wakamkataa na akasema anatafuta timu kubwa ili aondoke utd alivyokosa timu kubwa ndio akabaki utd hii ilionesha mchezaji hana mapenzi na timu. Kumbuka sera ya utd kwa sasa ni kusajili wachezaji wanaoipenda timu.
3.Kumpokea Rashford asiye na mapenzi na timu na kumuanzisha kikosi cha kwanza.
4. Kumpokea Rashford asiye na mapenzi na timu na kumchezesha left wing upande anaocheza Cuhna na kumpeleka Cuhna kucheza false 9 ambaye kiuhalisia ni number ya Sesko au wakati mwingine Mbeumo.
5. Kumeweka Sesko bench wakati yupo fit hasa mechi za mwanzoni mwa ligi ili tu Rashford apate kucheza number ya Cuhna na Cuhna kulazimishwa kucheza number ya Sesko.

Kiuhalisia hapa ndipo Carrick alipopoteza dressing room na ukifuatilia kauli ya juzi Martinez utaona ya kwamba wachezaji wamechukizwa na kocha na uongozi wao walipigania timu, msimu uliopita hivyo uongozi ulipaswa kusajili wachezaji wenye uwezo na sio kuwaletea wachezaji walioprove failure kwenye timu ya utd hadi wakatolewa kwa mkopo na kocha akadai anavutiwa kufanya nao kazi. Martinez aliongea kwa code sio rahisi umuelewe.

Narudia tena kusema pona ya utd kwa sasa ni kumfukuza Carrick na kuleta kocha mpya kisha January wasajili winga mwingine na Rashford wamtoe kwa mkopo au wamuuze la sivyo hawatashinda mechi yoyote zaidi ya draw.
 
Nilipendekeza huu uzi ufutwe kinachofanya nijione nipo sahihi nyumbu wengi wame-like ile comment

Kama Uzi ukifutwa hatua itakayofata tutafikiria namna ya kugawana mashabiki kwa arsenal, chelsea na Liverpool
 
Asante sana kwa kuuchagua ukweli na kuikataa corruption.

Ni wachache sana wamepata hiyo neema ya kuujua ukweli na kuamua kuufuata.

hydroxo bado haujachelewa, unayo nafasi ya kuungama
View attachment 3695715
Screenshot_20260914-060347_Facebook.jpg
 
Man Utd haina tatizo lolote isipokuwa ni muda wenu wa kulia 😂😂. Kila jambo na wakati wake. Kama mlivyofurahi kipindi cha Fergie, pokeeni pia hivi vichapo na maumivu
 
💯 “𝐎𝐍𝐄 𝐇𝐔𝐍𝐃𝐑𝐄𝐃 𝐏𝐄𝐑 𝐂𝐄𝐍𝐓”. ❤️‍🩹👊🏼

Michael Carrick speaks for 𝐟𝐢𝐯𝐞 𝐦𝐢𝐧𝐮𝐭𝐞𝐬 𝐚𝐥𝐨𝐧𝐞 ahead of all the questions to send a message to all Manchester United fans…

“The game against Como was bad. This is not acceptable for Manchester United. 𝐖𝐞 𝐡𝐚𝐯𝐞 𝐥𝐨𝐬𝐭 𝐨𝐮𝐫 𝐰𝐚𝐲 𝐚 𝐛𝐢𝐭, to be honest”.

“But we will be back. 𝐀𝐦 𝐈 𝐭𝐡𝐞 𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭 𝐦𝐚𝐧? 𝟏𝟎𝟎%, 𝐈 𝐚𝐦 𝐬𝐮𝐫𝐞”.

“This club will always be bigger than any individuals, me or the players. Sir Alex Ferguson the greatest of all time for me so his priority was Manchester United”.

“Sir Matt Busby and the resilience they showed was beyond belief. You can’t lose that and I won’t let us lose it, for sure”.

“𝐈 𝐚𝐦 𝐜𝐨𝐧𝐟𝐢𝐝𝐞𝐧𝐭 𝐰𝐞 𝐰𝐢𝐥𝐥 𝐛𝐞 𝐛𝐚𝐜𝐤. We’ll get back to the level we show in the first 5 months. It comes down to being humble and hard-working every day — tbe dressing room is not divided”.

“𝐈 𝐰𝐢𝐥𝐥 𝐡𝐨𝐥𝐝 𝐭𝐡𝐚𝐭 𝐮𝐦𝐛𝐫𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐟𝐨𝐫 𝐦𝐞 𝐭𝐨 𝐠𝐞𝐭 𝐰𝐞𝐭, 𝐞𝐯𝐞𝐫𝐲𝐨𝐧𝐞 𝐬𝐭𝐚𝐲𝐬 𝐝𝐫𝐲. I am ready, I am confident, otherwise I wasn’t here” ☔️☝🏼
 

Attachments

  • 1792776671056.jpg
    1792776671056.jpg
    74.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom