Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daah
 

Attachments

  • 1792954057288.jpg
    1792954057288.jpg
    170.9 KB · Views: 6
Hawa wanaglazzer family, wajaribu kuwa na moyo wa huruma. Wavae viatu vya MaShabiki hata mara Moja moja waone uchungu, mateso ya mashabiki wengi wa united.

Kuna bwana mdogo Kila man united ikifungwa ananitufata kwa simu huku akiwa na maumivu makali. Na kuhama timu haiwezakani Tena,ngumu sana.

Glazer walivyoleta Sanaa kuiuza timu kwa mwarabu yule. Hapo ndio kaburi la man united likaanza kuchimbwa taratibu.

Wakaficha madhaifu yao kwa kuuza hisa kiduchu kwa ratcliff,ineos.

Suluhisho ni familia ya glazers kuuza timu. Au wafanye marekebisho makubwa katika uendeshaji wa klabu (Ineos kama wajanja wajanja na Wazushi,au Ineos wanafanya kamchezo na tego lakuinunua yote toka kwa glazers.)
 
Ni mpaka juzi tulivyoikalia 3 nimeamini sisi tunastahili kwenda championship.

Niwahakikishie kuwa kama hatutashuka daraja hatutatatua matatizo ya united.
1000223113.jpg

Pamoja na kwamba Carrick hana mbinu, pia wale wamarekani walafi wanapotumbua pesa tu bila kujali timu.
1000223176.jpg
Wataendelea kuitafuna club mpaka watakapofikia makalio nayo wayatafune. United kwa tunakijua, ni timu ya kupata pigo kwanza, binafsi Hadi natamani tushike mkia kabisa, kwa Sasa matamanio yangu tupigwe tu wakose soko.
1000223117.jpg

United inafahamika kwa kuzalisha vipaji. Kununua wachezaji...wale wachezaji waliochukuliwa na Chelsea, asernal na man city tuliwahitaji lkn waapi
1000223115.jpg

Wewe fikiria timu bei yake sokoni bado Iko kwenye Bil 3 hapa bila kuishusha daraja unadhani nani atainunua. Na huyu familia ya Grazie hatauza.

Ishuke daraja, wapate hasara wauze. Uzuri wanawezabkumlazimisha criff inoe mhuni auze pia
 
Niliwaonya humu kabla msimu haujaanza ,mkasema

Mngeanza ligi na Maiko Kaniki mngebeba ligi

Niliwaonya mapema kabisa ,last season mshukuru mlikuwa mnacheza EPL tu Tena Kuna kipindi ilikuwa inapita had wiki 3 ndio mnacheza mechi nyingine

Safari hii ,bandika bandua ,weka tuweke ,

Huu mziki hamuuwezi hapo plus injuries

Wenzenu tushazoea tuna mabeki 8, tuna viungo 8

Sasa wewe unamtegemea eti Santos kibonge alikuwa anakosa namba kwenye timu iliyomaliza nafasi ya 10 🤣🤣

Teleman mvivu kukimbia

Rashford Kirusi🤣

Beki zile zile miaka nenda Rudi 🤣🤣🤣
 
Hakuna kipindi ambacho Manjesta ana nafasi kubwa ya kushuka daraja kama hiki

ili ubaki EPL unatakiwa walau uwe na points 40,sasa niambieni kwa Hali hii kila mechi kwenu fainal ,

Hizo points 40 mnazikusanya kwa nani ?🤣

Mjinga gani kwasasa yupo tayari kuachia point kirahisi kwa timu Ina Kiungo Santos na Baraba?

Hizo points 40 mnaweza kuzipata ila Damu zitawatoka
 
Hakuna kipindi ambacho Manjesta ana nafasi kubwa ya kushuka daraja kama hiki

ili ubaki EPL unatakiwa walau uwe na points 40,sasa niambieni kwa Hali hii kila mechi kwenu fainal ,

Hizo points 40 mnazikusanya kwa nani ?🤣

Mjinga gani kwasasa yupo tayari kuachia point kirahisi kwa timu Ina Kiungo Santos na Baraba?

Hizo points 40 mnaweza kuzipata ila Damu zitawatoka
Washuke tu.
 
Back
Top Bottom