Manutd juuuuuuuuuuu!!!, aman kwa Manutd fans wote na hongereni sana kwa ushindi mwanana katika wakati muafaka!!!

Mashetani wa ukweli, Roya, Idimi, Icadon, na wengineo naomba tunyanyue glass juuuu na kufanya ''wazungu'' wanasema cheers!!

Adui yako mwombee njaa, kwa Ab-Tchaz na wafuasi wako inaweza kuwa si habari nzuri.....Terry is likely to miss the CL final!!

One Love One United!!!!
 
Hongera Sana, Mwaka Huu Utakuwa Mtamu Sana Hasa Pale Tutakapo Shinda Cl.
 
Nimesahau.....kwa Ze Gunaz fans najua mtapata hamu ya kuchungulia humu tunashereka vipi!!

One msg to you....you were good but we were better!!,

Hata lori huwa lawa na Kondakta, dreva akichoka Konda anakamata usukani....lakini sasa wakiwa wanakaribia kuingia jijini ...i mean ''kibaha'' dreva anashika usukani si unajua uzoefa mataz?

Thanx kwa changamoto zenu!!
One Love One United!!
 
For non-Man U's mnisamehe kidogo! I gotta shout a little bit.
Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan U oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Karibuni OT, hameni kwenye hizo klabu changa.

😀

 
Ab-Titchaz naona unachungulia...say something!
Halafu things were pretty bad to ze bluuz..poleni bluuz!
 
Ab-Titchaz naona unachungulia...say something!
Halafu things were pretty bad to ze bluuz..poleni bluuz!

Roya Roy,

Duh!!!...naogopa kutoa maoni maana m'ko wengi!!!
Hata hivyo congratulations to Man U and all the fans.
You deserved the PL...sasa tusubiri Moscow....Naona mumetengeza na
video za vita eti...eehh Mkuu Icadon kweli ana uzalendo!!!
 
Roya Roy,

Duh!!!...naogopa kutoa maoni maana m'ko wengi!!!
Hata hivyo congratulations to Man U and all the fans.
You deserved the PL...sasa tusubiri Moscow....Naona mumetengeza na
video za vita eti...eehh Mkuu Icadon kweli ana uzalendo!!!

Ni ukweli nina uzalendo na ni mpenzi mkubwa wa Man U...mengine sisemi zaidi ngoja nikutengenezee video nyingine ya kusherekea ushindi.


Clip ya Last Year
 
Man U nawazimia kwa sana!
Ilikuwa hivyo zaidi nilipokuwa Afrika..

Then nikiwa London nikaona sasa sina haja ya kuendekeza unazi kama niliokuwa nao wa Simba na Yanga!

Hivo basi nikawa naagalia hizi game just for fun!
Mbali na kuwa shabiki mkubwa wa mashetani hao wekundu, nilijikuta pia nikiwa navutiwa na wachezaji kutoka timu mbali mbali kama Arsenal, Chelsea na Liverpool!

Yani kuna kuwa na wachezaji ninao wamind bila kujali timu na ndio maana itakuwa mshike mshike kwani Drogba ni Mwiba mbaya ndugu zangu!
 


Huyu Jamaa ni mwiba mbaya ndugu zangu!
Tuombe mungu tu yule beki apone la sivyo hati hati sana hii njemba inapopata nafasi ya kupiga mkwaju..Balaa nduguzanguni!
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=4ze1mfC-o9M[/media]
This is for the true Red Devils Fans!!
Special From Me
We Never Die
 
Mashetani muwapiii?, Roya, Icadon, Idimi, Ab n.k au ndo ''game fever''?

Najua kwa lolote lile litakalotokea kesho ''mtajaa sana humu''....

Kama timing bomb vile...tik tak tik tak tik tak tik tak tik tak.......

Its not over till it over...tukutane kesho iwe kwa harusi ama matanga.
One Love One United....!
 

Baba tupo, sasa hivi ndio tunamalizia sala zetu.
 
Samahani kwa kuchelewa kujimwaga jamvini, sikujua kwamba mambo yamehamia huku.
Anyway, nichukue nafasi hii kuwapongeza wanazi wenzangu wa Trafford ya zamani (Old Trafford) kwa kuutetea ubingwa wa ligi kuu.
Tukutane tena baadaye baada ya kunyakua kombe la mabingwa.
Wenu katika soka


Idimi
 
There is only ONE UNITED in the WORLD and that is MAN...............
 
Wakuu Idimi, Manda, Icadon, SteveD, Belo & the rest of the endless list,
the trophy is ours men....i can feel it! Ours!
Mkuu Manda mambo ya network yetu Bongo....sio homa wala nini!
Man 4 life & Man 4ever!
 
Fergie leo aanze na
1.Vana de Sar
2.Brown
3.Evra
4.Vidic
5.Rio
6.Carick
7.Ronaldo
8.Scholes
9.Rooney
10.Tevez
11.Owen

Then Anderson na Nani wataingia kama mambo yatakuwa magumu
Sitaki amuanizisha PARK ni vizuri kujaza wa2 katikati kwani jamaa wanachezesha viuongo wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…