In red!! That is Classic...ha ha that was funny!!! Ila duh tumechukulia ubingwa nyumbani kwa Abramovic!!!

kwi kwi kwi!
This is more than a joke!
Lakini pamoja na kukata umeme bado hakuweza kubadili matokeo, kimemlalia hicho kidali po!
Sijajua Abramovic anajisikiaje kuukosa ubingwa nyumbani kwao, nasikia lisafiri na familia yake yooooote! Anyway, ule ni mpira tu!
Tuendelee kugonganisha glasi!
 
Yes i said it....its not over till its over...and now its over......

Duh kumbe tumo wengi humu ndani adi mama paroko yumo?, asa jamani mlikimbilia wapi??

One Love kwa Roya, Idimi na Icadon among th rests...Ab- pole sana ndugu yangu thats soka kwakweli na kwa wale walio anzisha thread ya Ron Vs Messi nahic washa pata jibu jana.

One Love One United!!!
 
ilikuwa zali lenu tu......

Ha ha wewe utakuwa mshabiki wa Liverpool si bure... Ila ndio hivyo zali ama si zali tumewachapa waungwana tena nyumbani kwa bosi wao...Tulishasema humu Kwenye UEFA SAF ni kitu kingine kabisa!!

Ab-Tich, Unakumbuka ile video ya Red Army? Najua unaikumbuka.
 
Hata kama zali, kumbuka mechi ile ilikua ni mwisho wa safari ndefu na ngumu!

Naona jamaa kasahau hilo, yeye andai ni bahati!
Hajaangalia historia ya kombe hili pia, kujua kuwa Man united wanabahatisha ama la!
Atupatie kwanza historia ya Chelsea katika kombe hili la klabu bingwa Ulaya, ndipo tuendelee na mjadala!
 
1999 napo walisema bahati!!! Lakini wanasahau kwenye soka bahati na na skills vinachangia ushindi!!!

Lads wameshinda kombe for The Busby Babes....YNIM ningekuwa mitaa ya uko juu kwenu najua mairish wangeshaniletea rabsha lol.
 

Wale jamaa wa ARSENAL bado hawamkubali kijana but is HOT
 
VIDIC anaweza kumficha DROGBA unakumbuka hata STAMFORD BRIDGE Drogba alimuumiza VIDIC baada ya kuona anamdhibiti na alivyoumia 2 wakapata ushindi but jana alifunikwa
 
Nkweli unajua huku bongo umeme waliurichmond hivyo tulikuwa na wakati mugumu kupata matokeo
 

Icadon,

Kwa kweli u guys can rub this thing into our faces..haidhuru!
Nakumbuka ile video ya Red Army ijapokua iilkua for
Man U fans...nami niliichungulia.

Kisha my comments on the uwanja sio kama excuse..I was just calling
it as it is.Infact wachezaji wa Man U nd'o waliopata hard time na uwanja
but kwa ujasiri wao they came up on top.So I hope I'm taking anything
away from your victory....

Kutushinda mlitushinda lakini chenga tuliwachapa....LOL!!!..
 

Ule Uwanja ulikuwa ni kasheshe...kwenye swala hili niko na wewe ulikuwa unatitia luckily hakuna aliyeumiza ankle maana inanikumbusha viwanja vya kugombea kombe la mbuzi unakuta kuna korongo karibia na goli
 
ehh jamaniiii Man utd oyeeee though m late lakini nina kila haki ya kushangilia badoooo...kina Kana bado nawakumbuka wakati ule mlivyokua mwajipa moyo na arsenali yenuuuu
 
Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya wanazi wenzangu wa Mashetani wekundu wa Trafford Kongwe (Old Trafford). Lakini ikumbukwe kwamba sie ni familia moja hapa JF, kwa hiyo kila mtu ana uhuru wa kuchangia kutoka kila pembe, bila kujali kama naye ni shetani kama sisi ama la, kama vile siye tunavyochangia kwa watani wetu washika bunduki wa Emirates (Arsenal), Bwawa la Maini pale Anfield (Liverpoool) ama pale darajani Stamford (Chelsea).

Karibuni sana.
Idimi
 
nakuunga mkono mkuu tuko pamoja,mwendo ni ule ule msimu ujao kwa mashetani wekundu
 
Ili kuongeza utamu zaidi katika msimu ujao ningependa Sir Fargie asajiri beki 4 na 6 wakali zaidi. Long live Man U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…