Manchester United Transfer overhaul

Nmesikitika sana hapo namba 8 na 11. Nawaona vijana wakiwa nyota huko mbeleni!
Greenwood nafikiri ni kwa sababu tu ya ile skendo yake timu ili kulinda image yake inalazimika kumuacha aondoke akatafute maisha kwingine ila peristr sio man utd standard kashapewa sana nafasi na hajawahi kufanya maajabu apewe tu thank you akapambane kwingine kama yule pereira alivyoacha akaenda zake fulham . Nimesikitika hao win bisaka, mctomnay na lindeloff hawa ni wachezaji wa daraja la kati wangebaki tu wawe squad players.
 
Hapo kwa Bisaka nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…