shemaghotwe
Member
- Apr 14, 2014
- 93
- 67
Baada ya kusua sua msimu uliopita hadi kukamata nafasi ya 6 kwenye Ligi ya EPL na kubahatisha kuingia kwenye michuano mikubwa ya Champions League kwa tiketi ya Europa,msimu huu kocha Jose Mourinho hataki kuona mzimu huo ukijirudia.Mwaka huu tunatembeza dozi hatari ili kuhakikisha hatubanduki pale juu hadi kieleweke.Timu itakayojipendekeza tunachapa kwa kutumia kauli mbiu mpya ya Hatulali na Deni kwa maana kuwa tutahakikisha tunazichapa timu zote zilizotusumbua msimu uliopita.
Kaeni chonjo Arsenal,Chelsea,Man city,Liverpool na Tottenham zamu yenu kuhesabiwa
Kaeni chonjo Arsenal,Chelsea,Man city,Liverpool na Tottenham zamu yenu kuhesabiwa