Manchester united tunasubiri nini kumsajiri Pochetino

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
 
Tunakusubiri wewe rais wa team uvunje kibubu ili tumsajii
 
Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
Unazijua hata gharama za kuvunja mikataba?
Au huwa mnachukulia rahisi tu kumfukuza kocha.
 
Unahisi Manchester united ni sawa na tandale united? mkataba anavunja Yanga na simba itakua Man u?
 
Pochettino hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Man U labda aende kwa majaribio kama alivyoenda Moyes.

Hana rekodi ya kuchukua kombe lolote zaidi ya kupigania top four. He deserves the modest sides.
 
Back
Top Bottom