Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
Tunakusubiri wewe rais wa team uvunje kibubu ili tumsajiiWadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
Ole atashinda mechi kadhaa. Pochetino akipata kazi sehemu, kataanza kupoteza tena. Kajinga sana.Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
Unazijua hata gharama za kuvunja mikataba?Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
Jamaa anaenda bayern munich.Unahisi Manchester united ni sawa na tandale united? mkataba anavunja Yanga na simba itakua Man u?
Umesema la mbolea sanaWenye uhitaji wa kumchukua zaidi Pochetino kwa sasa ni Arsenal.
Man U tupo kwenye raiti traki.