Manchester United ukichukulia serious unakufa na pressure!

Bora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.
 
Kipindi cha Mrussia, Stanford palikua panaogopeka.
 
Bora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.
Hata mwantesa kinachowasumbua ni hicho, yule mzee gleza mwenye timu yake alipofariki tu, timu akawaachia wahuni, wale wanajua kutumia pesa tu, mpira hawana habari nao.
 
Bora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.
Chelsea yangu kuna muda inanipa matumaini kiasi cha kuanza kutamba yoyote aje ila kuna wakati sasa kama jana unakosa hata la kujitetea dadeq.

Huu ubovu walionao Man u next week tarehe 31 October usishangae tukipigwa kama walivyotufanyia Tot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…