Manchester united vs Chelsea

Manchester united vs Chelsea

Toa Mkhitaryan weka Fellain sijuagi huyu mtu anafanya nini uwanjani.
 
natafuta live streaming app nicheki gemu wadau wangu
 
Toa hii takataka Mkhitaryan mapemaaaa
 
Sure, sikujua kwa nini alimtoa, nikabaki kushangaa.


Hata hivyo tumestahili kushinda. Tumewachezea mpira mkubwa.
 
Back
Top Bottom