[emoji23][emoji23][emoji23] ebu ichek tebo afu unambieManchester hamalizi top four
Sidhani sioni hilo likitokea liverpool ni mbovu licha ya kumfunga man utd goli nyingiMwenye nafasi yake namba tatu anarudi mdogo mdogo na man united wamekubali
😂🤣 punguza pombe mkuuAseno atashka nafas ya 3 #dei tu rimemba
Boss kumbuka tupo GW27Nimeiangalia na nimeona man u ashaanza kupunguza moto so anaweza akatoka kwenye ile nafasi
Liverpool akijitahid sana ni nafasi ya 6Wale watoto mbele wameanza kujiamini na bado wanamsubiri Diaz tu mambo yake moto so lolote linaweza tokea
Hei Léo jpil ctumiag vileo[emoji23][emoji1787] punguza pombe mkuu
Sasa mdogo wangu unaposema EPL watu wanaangalia nani kati ya Man Utd na Liver atamaliza top 4 huoni kama unalamba ugoro na kuchanganyikiwa?Manchester wewe [emoji23]
kwa ratiba hii hatoboi top 4Wale watoto mbele wameanza kujiamini na bado wanamsubiri Diaz tu mambo yake moto so lolote linaweza tokea
Livapuli yupo UCL #mech alzobakia nazo ndo kimbembeThen kumbuka liverpool hawazi kuhusu kombe lolote now zaidi ya top four wakati man u ana europa huku FA