Manchester United vs Liverpool

Manchester United vs Liverpool

xxtycoon

Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
33
Reaction score
67
Kwa sasa premier league imebakia kwa Manchester United na Liverpool watu wakiangalia nani atamaliza msimu kwenye Too Four.

Kwa mechi zilizobakia sasa kubashiri muue tu Manchester utanishukuru baadae [emoji23] au niambia nikupe jamvi langu lililotandika kwenye sokabet kwa mechi za week ijayo upige pesa uondoke mpunga!
 
Man utd na man city bado watadondosha sio pungufu ya point 5 mpaka msimu kumalizika.
 
Manchester wewe [emoji23]
Sasa mdogo wangu unaposema EPL watu wanaangalia nani kati ya Man Utd na Liver atamaliza top 4 huoni kama unalamba ugoro na kuchanganyikiwa?

Watu wanaangalia nani atakuwa bingwa? Kati ya Man City na Arsenal. Alama 5 tu zikiwatenganisha.

Watu wanaangalia nani atashuka daraja? Kwa maana timu ya mwisho Southampton na Crystal Palace iliyopo nafasi ya 12 tofauti zao ni alama 5 tu.
86AD4A0C-4C6C-4562-96F2-5C147A2B3CAB.jpeg


Sasa unapotuambia EPL watu wamebakiza kuangalia top 4 ya Liver na Man Utd lazma tukushangae kama ni akili zako tu au ugoro ndani yake??
 
Back
Top Bottom