Sasa mdogo wangu unaposema EPL watu wanaangalia nani kati ya Man Utd na Liver atamaliza top 4 huoni kama unalamba ugoro na kuchanganyikiwa?
Watu wanaangalia nani atakuwa bingwa? Kati ya Man City na Arsenal. Alama 5 tu zikiwatenganisha.
Watu wanaangalia nani atashuka daraja? Kwa maana timu ya mwisho Southampton na Crystal Palace iliyopo nafasi ya 12 tofauti zao ni alama 5 tu.
View attachment 2548075
Sasa unapotuambia EPL watu wamebakiza kuangalia top 4 ya Liver na Man Utd lazma tukushangae kama ni akili zako tu au ugoro ndani yake??