Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mdogo wangu unaposema EPL watu wanaangalia nani kati ya Man Utd na Liver atamaliza top 4 huoni kama unalamba ugoro na kuchanganyikiwa?
Watu wanaangalia nani atakuwa bingwa? Kati ya Man City na Arsenal. Alama 5 tu zikiwatenganisha.
Watu wanaangalia nani atashuka daraja? Kwa maana timu ya mwisho Southampton na Crystal Palace iliyopo nafasi ya 12 tofauti zao ni alama 5 tu.View attachment 2548075
Sasa unapotuambia EPL watu wamebakiza kuangalia top 4 ya Liver na Man Utd lazma tukushangae kama ni akili zako tu au ugoro ndani yake??
Umejua wewe na nani kama Arsenal kashachukua ubingwa? Its not over until its overSasa arseno tushajua anachukua kaka ila kuna ligi nyingi ndani EPL ndio ipo kwa man u tottenham Newcastle na Liverpool kuangalia nani atamaliza kwenye top four
Yanga imeshachukua ubingwa wa Bara!!Umejua wewe na nani kama Arsenal kashachukua ubingwa? Its not over until its over
Usifananishe mpira wa makaratasi na mpira wa ulayaYanga imeshachukua ubingwa wa Bara!!