BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Omog anakujaje hapa.Tuma Salamu Kwa OmoG
"NeVeR_sAy_NeVeR"
Ngoja tuvumilie mkuu.Mi pia ni Yanga man u ila acha tu niendelee kulia lia kwa kua kule mbele wananipoza machungu iko siku labda furaha yetu ya siku za nyuma itarudi
ππππLwandamila nae kaxhindwa kuixhabikia yanga kasema nae anaamia man u
Kwa hiyo mwenyekiti mstaafu tunaenda nae sawa kwenye mapito magumu.Mwenye timu anamsala mtaachwa kufungwa!
Oooh...What a coincidence! Just the way I do. Let's hope for the best.Mimi Yanga na Liverpool na Madrid.Miaka ya nyuma hapa Yanga na Madrid walipa raha zote nilizozitaka katika soka,safari hii hata Madrid inanipa wasiwasi.
Mungu atatulipia siku moja.Oooh...What a coincidence! Just the way I do. Let's hope for the best.