Manchester United wakiongozwa na CEO, John Shiels wafika kileleni mwa mlima Kilimanjaro

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_463345623_1828316934643407_2277843693061755246_n_1080.jpg

Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka.

Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana - hongereni nyote ❤️🙌

Hongera kubwa kwa wale walioufikia kileleni, akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wetu, John Shiels.

============

Our incredible MountKilimanjaro climbers have done us so proud - well done to you all ❤️🙌Huge congratulations to those who reached the summit, including our very own CEO, John Shiels
 
Kupitia kwenye mtandao wao wa Instagram wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kwenye kilele kabisa cha mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka.

Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana - hongereni nyote ❤️🙌

Hongera kubwa kwa wale walioufikia kilele, akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wetu, John Shiels.

============

Our incredible MountKilimanjaro climbers have done us so proud - well done to you all ❤️🙌Huge congratulations to those who reached the summit, including our very own CEO, John Shiels
Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
 
Au mnara hivi ea mita kadhaa kama inawezekana na maandishi in Gold plates....pabde zote nne za mnara....juu mnara uweke alama Mwemge umulike Africa....ulete amani....na upendo?
 
Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Utaambiwa Tunatunza Mazingira
 
Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Mantain the naturality
 
Mashabiki wanaka wafike kilele cha Epl wao wamefika kilele cha mlima poleni fan's wa man u vumilieni nyama zipo chini!
 
Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Ni baya mno.
 
Me nilichoshanga hapo kileleni siku hizi hakuna theluji au?
 
Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
mkuu huo ndio uhalisia mkuu. hilo bango liliweka na somebody Nyirenda mara baada ya uhuru Nyerere aliamuru mwenge upelekwe juu ya kilele. so so hilo bango ndio burudani yenyewe ya kupanda mlima. si waona bendera ya bati mkuu. vile havitoki hadi vichakae kabsaaaaa.
 
Back
Top Bottom