Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka.
Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana - hongereni nyote ❤️🙌
Hongera kubwa kwa wale walioufikia kileleni, akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wetu, John Shiels.
============
Our incredible MountKilimanjaro climbers have done us so proud - well done to you all ❤️🙌Huge congratulations to those who reached the summit, including our very own CEO, John Shiels