Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Kupitia kwenye mtandao wao wa Instagram wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kwenye kilele kabisa cha mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka.
Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana - hongereni nyote ❤️🙌
Hongera kubwa kwa wale walioufikia kilele, akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wetu, John Shiels.
============
Our incredible MountKilimanjaro climbers have done us so proud - well done to you all ❤️🙌Huge congratulations to those who reached the summit, including our very own CEO, John Shiels
Au mnara hivi ea mita kadhaa kama inawezekana na maandishi in Gold plates....pabde zote nne za mnara....juu mnara uweke alama Mwemge umulike Africa....ulete amani....na upendo?Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Kuleta ile maana ya ile falsafaplates....pabde zote nne za mnara....juu mnara uweke alama Mwemge umulike Africa....ulete amani....na upendo?
Utaambiwa Tunatunza MazingiraHivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Sema gharama watakazoandika ni za kujenga Km kadhaa za lamiUtaambiwa Tunatunza Mazingira
Mantain the naturalityHivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Haswaaaa.......wasiweke sanamu la baba Taifa maana wanalikoseaaaaKuleta ile maana ya ile falsafa
Hata wangechonga mawe yakawa na shape nzuri nayo ni natureMantain the naturality
Hizo mbao zikiwekwa epoxy zitadumuHata wangechonga mawe yakawa na shape nzuri nayo ni nature
Ni baya mno.Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Me nilichoshanga hapo kileleni siku hizi hakuna theluji au?Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
mkuu huo ndio uhalisia mkuu. hilo bango liliweka na somebody Nyirenda mara baada ya uhuru Nyerere aliamuru mwenge upelekwe juu ya kilele. so so hilo bango ndio burudani yenyewe ya kupanda mlima. si waona bendera ya bati mkuu. vile havitoki hadi vichakae kabsaaaaa.Hivi hakuna uwezekano kubadili hilo bango likawekwa lenye muonekano mzuri kiasi, ningeshauri litengenezwe bango la kisasa moja tu badala ya kuungaunga hivyo
Ipo, kileleni ni pakubwa mno na inategemea umepanda msimu ganiMe nilichoshanga hapo kileleni siku hizi hakuna theluji au?