JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Manchester United imepata ushindi wa nne mfululizo katika Premier League baada ya kuichapa Arsenal magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Septemba 4, 2022.
United ambayo ilianza kwa kasi mchezo huo imepata magoli yake kupitia kwa Antony na Marcus Rashford aliyefunga mawili wakati Bukayo Saka aliifungia Arsenal.
Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kupotea pointi kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya awali kushindwa mechi tano mfululizo.