Manchester United yakubaliana na Everton kutoa pauni milioni 75 kumsajili Lukaku

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Manchester United wamekubaliana ada ya uhamisho ya takriban pauni milioni 75 na Everton ya kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku, 24.
Taarifa zinasema United sasa hawatoendelea kumfuatilia Alvaro Morata wa Real Madrid.
Hatua hii pia haihusiani na mazungumzo ya Wayne Rooney kuhamia Everton

============================================
Manchester United have agreed a fee of around £75m with Everton for striker Romelu Lukaku.

The 24-year-old Belgium international scored 25 Premier League goals last season.

United, who have been chasing Lukaku for most of the summer, will not now be pursuing their interest in Real Madrid's Alvaro Morata.

The move for Lukaku is not connected to talks aimed at taking United forward Wayne Rooney to Everton.

Jose Mourinho's side are hopeful of concluding a deal in time for Lukaku to join the squad before they depart for a pre-season tour to the United States on Sunday.

The striker was on a list of forward options Mourinho gave to executive vice-chairman Ed Woodward before the end of last season.

It had been thought Lukaku would return to his former club Chelsea, who he joined from Anderlecht in 2011.

The striker was sold to Everton for £28m by Mourinho during the Portuguese manager's second spell in charge of Chelsea in 2014.

Lukaku is a client of agent Mino Raiola, who also looks after Paul Pogba, Zlatan Ibrahimovic and Henrikh Mkhitaryan - three players all signed by United last summer.

The Belgian turned down the most lucrative contract offer in Everton's history in March and later said: "I don't want to stay at the same level. I want to improve and I know where I want to do that."
.

Source: BBC
 
Duh, chelsea wamepigwa kanzu. Pogba huyo kamshawishi, juzi juzi walikuwa states wanakula good times pamoja!

image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
Mchezaji asiyeweza kung'aa katika mechi kubwa, mchezaji mwenye first touch mbovu unawezaje kutoa Pauni 75 Millioni? Man Utd mmebabaika na magoli yake anayowafunga Burnley na Sunderland na timu nyingine dhaifu halafu mtegemee maajabu kwenye UEFA?
Kitu pekee ambacho Lukaku atawasidia Man U ni nguvu zake pale watakapokuwa wanakaba hasa wanapocheza ugenini katika formation ya 7-3-0.

Vinginevyo nimpongeze wakala Mino Raiola kwa kuitumia vyema Man U kama kichaka chake cha kupiga pesa ndefu hasa linapokuja suala la usajili, rejea usajili wa Pogba wa Pauni 89 Milioni mwaka jana na alichokifanya uwanjani. Mino Raiola mungu anakuona.

Ni mtazamo tu.
 
Mzee tulia Pesa ipo acha tununue wachezaji bora. Kushindwa kung'aa katika game kubwa sio kigezo Kama consistency ipo akija man utd atazifunga timu kubwa unazozijua [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
NB: Lukaku ni goal machine while Lacazette ni goal collector .......jokes
 
Mchezaji asiyeweza kung'aa katika mechi kubwa, mchezaji mwenye first touch mbovu unawezaje kutoa Pauni 75 Millioni? Man Utd mmebabaika na magoli yake anayowafunga Burnley na Sunderland na timu nyingine dhaifu halafu mtegemee maajabu kwenye UEFA?
Kitu pekee ambacho Lukaku atawasidia Man U ni nguvu zake pale watakapokuwa wanakaba hasa wanapocheza ugenini katika formation ya 7-3-0.

Vinginevyo nimpongeze wakala Mino Raiola kwa kuitumia vyema Man U kama kichaka chake cha kupiga pesa ndefu hasa linapokuja suala la usajili, rejea usajili wa Pogba wa Pauni 89 Milioni mwaka jana na alichokifanya uwanjani. Mino Raiola mungu anakuona.

Ni mtazamo tu.
aseeh
 
Sijui unatazama mpaka wapi!
 
hivi mpira huwa unaangalia au unasimuliwa? lukaku is almost a complete striker
 
Mchezaji asiyeweza kung'aa katika mechi kubwa, mchezaji mwenye first touch mbovu unawezaje kutoa Pauni 75 Millioni? Man Utd mmebabaika na magoli yake anayowafunga Burnley na Sunderland na timu nyingine dhaifu halafu mtegemee maajabu kwenye UEFA?
Kitu pekee ambacho Lukaku atawasidia Man U ni nguvu zake pale watakapokuwa wanakaba hasa wanapocheza ugenini katika formation ya 7-3-0.

Vinginevyo nimpongeze wakala Mino Raiola kwa kuitumia vyema Man U kama kichaka chake cha kupiga pesa ndefu hasa linapokuja suala la usajili, rejea usajili wa Pogba wa Pauni 89 Milioni mwaka jana na alichokifanya uwanjani. Mino Raiola mungu anakuona.

Ni mtazamo tu.
Itakua imekuuma hii issue si bure na nahisi wewe ni chelsea
 
vyombo vingi vya ulaya vimeripoti hivi ila wewe na vyombo hivyo vya ulaya mmeongea uongo mtakatifu tuanze na statistics za lukaku against big teams, hapa tutazichambua zile timu 6 kubwa

-lukaku amewafunga liverpool goli 5

-lukaku amewafunga arsenal goli 3

-lukaku amewafunga manchester city goli 5

-lukaku amewafunga manchester united goli 3

-lukaku kawafunga spurs goli 1

-lukaku kawafunga chelsea goli 2

mchezaji hafungi huyu? ni striker wangapi wana uwezo wa kuwafunga liverpool goli 5 kwa misimu michache kama lukaku? au man city?

na ikumbukwe lukaku amecheza timu ndogo kama everton na west bromwich,

source
Romelu Lukaku - Balance (Detailed view) | Transfermarkt
 
Back
Top Bottom