Kocha Jose Mourinho ameondelewa katika nafasi yake ya kuinoa klabu ya Manchester United baada ya kuiona klabu hiyo kwa miaka miwili na nusu
> Taarifa ya klabu hiyo inasema "Klabu inapenda kumshukuru Jose kwa kazi yake kwa muda wote aliokuwepo Manchester United na kumtakiwa mafanikio mema kwa siku zijazo"
> Aliyewahi kuwa nahodha wa klabu hiyo, Michael Carrick anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo hadi mwisho wa msimu
=====
Manchester United has announced that Jose Mourinho has left the Club. We would like to thank him for his work during his time at Manchester United and wish him success in the future.
Kocha Jose Mourinho al-maarufu kama The special one ameacha/timuliwa kazi mapema hii leo saa sita katika klabu ya Manchester united.
.
Vyanzo mbali mbali vya habari vimethibitisha kuondoka kwa mourinho huku wengi wakiamini kiungo carrick atakabidhiwa kwa muda majukumu ya kuiongoza timu hiyo ambayo imekuwa ikisuasua msimu huu.