Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

Ni kweli jamaa kashasepa.. yamemshinda
 
Liverpool bhana... dah!

Tumemnyima kibarua mchongaji aliyejiona bora na kujiita 'special one'

Shkamoo sana Klop!
 
Sawa kabisa,timu ina mchezaji mwenye thamani ya trillion 1,ana kiwañgo mara tatu ya messi & Ronaldo halafu wewe unakuwa mjuaji unampiga bench
 
"iwon against a liverpool team that won the champions league,this one has won nothing!!hahahahahah they won your job!!
 
Akafie mbali huko. Kitu pekee alichonifurahisha Mourinho tokea namjua ni ile interview ya juzi Jumapili baada ya kuchabangwa na Liverpool, zaidi ya hapo sikuwahi kuelewa anaongea nini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee ngoja afurahie sikukuu bila stress ..yawezekana yeye ndo akawa mshindi kwa hili

...jaribuni na mbinu za kiitalianoo
 
Back
Top Bottom