Imekaa vibaya,tatizo ni Kali P.Imekaa vibaya,tatizo ni Pogba au!?
Nalog off
ShikamooFake news kwa hewa!
Duh hela ndefu eh, huyu anaweza kukopesha dola.Dah..safii..hiyo upande mmoja...upande mwingine analipwa Zaidi ya paundi 25 million.... 😛
Acha kwanza kula wale watoto wa pale kwa forum ndiyo nitaitika shikamoo yako![emoji4][emoji4][emoji4]Shikamoo
Mkuu ni salaam tuuAcha kwanza kula wale watoto wa pale kwa forum ndiyo nitaitika shikamoo yako![emoji4][emoji4][emoji4]
😂😂mie mwenyew naona kawaifa tu au vile siujui mpiraKwa hiyo uchaguzi mdogo lini???
Nilijua ni JPM amefukuzwa na NEC ya CCM,au EU wamefanya yao pale Magogoni.Aaaah mambo haya yatatokea lini?