Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
[emoji23][emoji23][emoji23]Uking'atwa na mbu kwenye pumbu utampiga kofi?
Mchezaji gani huyoo ana hzo sifa zote mkuuSawa kabisa,timu ina mchezaji mwenye thamani ya trillion 1,ana kiwañgo mara tatu ya messi & Ronaldo halafu wewe unakuwa mjuaji unampiga bench
Fergie aliondoka na nyota yake hapo hata aje Gudiola itakua ni vituko tuAondoke tu! Mwanzo mpya kwa Man United umefika.
Akija jajì lubuva au jecha mbona wanashinda tuKwa aina ya wachezaji walio nao Man hata aje nani bila kufanya mabadilko hakutakuwa na kipya kabisa...
Mkuu wareno wanaroho mbaya tangu enzi za ukolonīwamechelewa Sana hamna kocha pale
We mzungu gani ana roho mbaya kuliko hata mwafrika?
Bora atuachie team yetuBaada ile mechi ya liva nilijua haponi
Kama unamzungumzia pogba,sidhani kama upo sahihi!!Sawa kabisa,timu ina mchezaji mwenye thamani ya trillion 1,ana kiwañgo mara tatu ya messi & Ronaldo halafu wewe unakuwa mjuaji unampiga bench
Kwa hiyo mimi na mourinho tumelingana wote hatuna ajira... [emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha haya!