Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

Huku anamtaji wa karibu Billion 75+za kitanzani atakazolipwa kutokana na kufukuzwa kazi
Hata kama angekuwa na trillion laki saba point ya msingi kuanzia sasa hana ajira kama mimi. Ni jobless, mzurulaji tu mpaka hapo atakapoajiriwa tena, huwezi jua na mimi naweza kuwa nimeajiriwa tukawa bado hatuna tofauti tu.
 
Kwani Bakheresa na Dangote wanFanya kazi wapi
Hata kama angekuwa na trillion laki saba point ya msingi kuanzia sasa hana ajira kama mimi. Ni jobless, mzurulaji tu mpaka hapo atakapoajiriwa tena, huwezi jua na mimi naweza kuwa nimeajiriwa tukawa bado hatuna tofauti tu.
 
Binafsi mou alinifanya nipunguze uhasama wangu na man u kwani ni mmoja wa makocha nao waheshimu sana, sasa hapa amenirudisha kwnye ule uhasama wetu
 
Kwani Bakheresa na Dangote wanFanya kazi wapi
Wale ndio waajiri wakubwa si ajabu hata mourinho akaajiriwa na bakheresa afundishe vijana wake wa pale chamazi kama wale wazungu aliowaajiri kule ndani watengeneze ice cream na ngano.

Bakheresa na dangote ni Madon.. Mourinho ni mwajiriwa kibarua kama wafanyakazi wa mkonge wa zamani.
 
Bakheresa amuajiri mou" kupata vichekesho hivi tunafanyaje
 
Bakheresa amuajiri mou" kupata vichekesho hivi tunafanyaje
Namaanisha bakhersa ndio mwajiri na mourinho ni mwajiriwa katika mfumo wa financial system ya Dunia.
Ni sawa na yule Mengi yeye ni mwajiri ila mourinho yeye ni mtafuta Kazi kama wale vijana unaowaona wanazunguka na mabahasha kusaka vibarua. Si unaona fedhea tupu sasa hivi kafukuzwa Kazi anarudi kwa huko vijijini Madeira.

Mimi na yeye wote hatuna Kazi. Sina tofauti na mourinho.[emoji16][emoji16]
 
Akafie mbali huko. Kitu pekee alichonifurahisha Mourinho tokea namjua ni ile interview ya juzi Jumapili baada ya kuchabangwa na Liverpool, zaidi ya hapo sikuwahi kuelewa anaongea nini.

Mi alinikera sana, pale Manutd ilipofungwa na sijui ilikuwa ni Valencia, pale OT, eti haishangazi, kwani walishafungwa na Porto, Real Madrid na yeye akiwepo hapo uwanjani. Hivyo, sio kitu kigeni kufungwa hapo OT.
 
Mwanitesa yunitedi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Man u hawamuoni Zahera.. Ysnga si wanamzingua wamchukue ni bonge la kocha fikiria wachezaji hawajalipwa mishahara lkn timu inashinda.wakat Man u mishahara ni mikubwa tena kwa wiki si watachukua ata kombe la dunia wakiwa na Zahera
 
Tunamuhitaji Jose kule Damascas, akafundishe timu ya taifa ya mpira wa miguu pale Syria. Atalipwa ela inayofaa siyo hivyo visenti vya Man U.
====
Kitendo cha kuwaita wachezaji wake mbwa vichaaa sikukikubali
Kitendo cha kuapa kuwa Man U itakuwa kwenye top four Krismas kilikuwa cha kifedhuli na jeuri kala jeuri yake.
Kitendo cha kumdhalilisha Wenger kipindi kile...hata kama Wenger alikuwa ametuudhi sisi mashabiki wa Arsenal kipindi hicho.

Namshauri Jose aache makuu.
^^^^^^^^^^^^^^^
Jicho la tatu: Isije kuwa Waingereza wamemfanyia fitina kwa kuwakatalia matakwa yao ya kumtaka Jose akatae offer ya televisheni ya Russia ya kuwa mchambuzi wa mechi wakati wa Kombe la Dunia la mwaka huu huko huko Russia. Televisheni hiyo inaitwa RT.
 
Kwa wapenzi wa soka hasa wazee wa old Trafford leo inaweza kuwa siku nzuri au mbaya pia baada ya "THE BOSS", "SPECIAL ONE" kufungashiwa virago pale old trafford..

Falsafa ya Man u ilimhitaji mtu kama Morinho kuwepo pale kwa muda kidogo tofauti na hapo inabidi Falsafa ibadirike na timu iingie kwenye mfumo mpya kama wa man city, liverpool au chelsea na sio ile falsafa ya Pasi ndefu, mbio na counter attacks huku timu ikiwa na ukuta imara + strong holding midfield na one standing striker atakayesubiri loose balls na penetration...

Pole MORINHO, watoto mabishoo wamekuangusha bila shaka umewakumbuka sana watu wako wa kazi kama Maicon, Etoo, Millito, Drogba, Barrack, Terry, nk..enzi za Inter na Chelsea ngumu enzi zile..
 
Kweli Mkuu. Carrick sio kuongeaji! Hao wawili hao........wanaongeaaaaaa.......!
Huyo Neville walipewa timu kule Hispania, walifanya vibaya sana, na kufurushwa!

Haah haah Neville maneno mingi mbele ya tv screen ila kwenye dugout ni zero kabisa.alipokuwa Valencia alikiona cha moto,mpaka leo hataki tena habari za kuwa kocha,amebakia kuchonga tu kwenye tv!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…