Kwa wapenzi wa soka hasa wazee wa old Trafford leo inaweza kuwa siku nzuri au mbaya pia baada ya "THE BOSS", "SPECIAL ONE" kufungashiwa virago pale old trafford..
Falsafa ya Man u ilimhitaji mtu kama Morinho kuwepo pale kwa muda kidogo tofauti na hapo inabidi Falsafa ibadirike na timu iingie kwenye mfumo mpya kama wa man city, liverpool au chelsea na sio ile falsafa ya Pasi ndefu, mbio na counter attacks huku timu ikiwa na ukuta imara + strong holding midfield na one standing striker atakayesubiri loose balls na penetration...
Pole MORINHO, watoto mabishoo wamekuangusha bila shaka umewakumbuka sana watu wako wa kazi kama Maicon, Etoo, Millito, Drogba, Barrack, Terry, nk..enzi za Inter na Chelsea ngumu enzi zile..