Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

Man u hawamuoni Zahera.. Ysnga si wanamzingua wamchukue ni bonge la kocha fikiria wachezaji hawajalipwa mishahara lkn timu inashinda.wakat Man u mishahara ni mikubwa tena kwa wiki si watachukua ata kombe la dunia wakiwa na Zahera
Zahera ndio nani huyo mzee baba?
 
Inawezekana mkuu

Soma ESPN FC, Mourinho sacked:

Manchester United have sacked Jose Mourinho after Sunday's defeat at Liverpool left the club 11 points adrift of the Premier League top four.


He was informed of the decision at the club's Carrington training ground on Tuesday, with executive vice chairman Ed Woodward delivering the news in person around 9:30 a.m.
 

Nimekuelewa man!!!
 
Kirusi kimeondolewa Man U. Sasa utapigwa mpira wa ukweli

Pamoja na kwambo JM kazingua sana msimu huu pale Man U,ila me nafikiri shida kubwa ya Man U ipo kwa wale ex players wanaojiita class of 92 sijui,wale ndio kirusi kikubwa sana pale.
 
Pamoja na kwambo JM kazingua sana msimu huu pale Man U,ila me nafikiri shida kubwa ya Man U ipo kwa wale ex players wanaojiita class of 92 sijui,wale ndio kirusi kikubwa sana pale.
Hao ni wapiga kelele tu.
Man ina falsafa yake. Mpira wa kushambulia. Huwa nashindwa kuelewa kama walidhani Mourihno ataacha mambo yake ya kujihamihami hata vitimu vya ovyo.
Kwa Lukaku awe mzuri akiwa Everton au timu yake ya taifa lakini awe hovyo Man U?
Ni mfumo mufilisi wa Mourinho. Aende zake mwizi mkubwa.
 
Kwa aina ya wachezaji walio nao Man hata aje nani bila kufanya mabadilko hakutakuwa na kipya kabisa...

Point. watoto mabishoo wale hamna kitu pale, Man u inahitaji watu wakazi wanaoendana na kuiweza falsafa ya OT..
 

Mkuu falsafa ya Man utd ni strong defence, strong holding midfield na kucheza pasi ndefu wakiwa na mtu mmoja mkiambiaji kama Ronaldo au Cantona... Falsafa ya OT inahitaji watu wa kazi kama Keane, Rio, Vidic nk sio mabishoo kama Pogba, Lukaku, Matial nk.. Mtu pekee ambaye angeweza Falsafa ya OT ni Mourinho pekee wengine alikosa watu tu..
 
Upo sahihi mkuu,nilikuwa nashangaa sometimes kwanini Mourinho anacheza mpira wa kudefend hata kwa vitimu vidogo ambavyo Man u wanavizidi kila idara!!!
 
Nimshukuru kwa mchango wake pale utd...binafsi nilikuwa nimeshazoea matokeo ya timu yetu, sikuwa na presha.
ni muda wa kusawazisha tulipokosea hasa upande wa kocha.
 
Hakuna team ilikuwa na strikers wengi kama Man U.
Team yenye Cristiano Ronaldo, Rooney na Tevez kwa wakati mmoja. Ilionyesha attaking mentality.
Mourinho katumia Pound 400 m kusajili lakini hamna kitu.
 
That fool(Mourinho) alikuwa anaishi kwenye hotel ambayo alikuwa analipiwa Pound 875 kwa siku, close to Tzs 2,800,000 kwa siku. Alimsajili flop Sanchez na kukubali kumlipa pound 500,000 kwa wiki. Baadae akampeleka kusugua bench, you can now see how fool he is.
 
Sasa wale hawana effect yoyote hawana cheo hapo man u. Wanaongea tu huko nje.
Pamoja na kwambo JM kazingua sana msimu huu pale Man U,ila me nafikiri shida kubwa ya Man U ipo kwa wale ex players wanaojiita class of 92 sijui,wale ndio kirusi kikubwa sana pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…