kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
Zahera ndio nani huyo mzee baba?Man u hawamuoni Zahera.. Ysnga si wanamzingua wamchukue ni bonge la kocha fikiria wachezaji hawajalipwa mishahara lkn timu inashinda.wakat Man u mishahara ni mikubwa tena kwa wiki si watachukua ata kombe la dunia wakiwa na Zahera