Manchester UTD ni vema wakawaiga timu ya Yanga

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ukiwaangalia man utd ya sasa ni kama wamejikatia tamaa wanasubiria ligi ikwishe tu wajue hatima yao kama wanadondokea Jumanne&Jumatano au Alhamisi.

Timu imekosa Morale kuanzia wachezaji mpaka benchi ufundi hakuna mwenye uchungu na timu tena wafungwe sawa, watoe droo sawa, wakishinda ni kama bahati tu.

Hii inanikumbusha ile Yanga ya Mwl Zahera, Lwandamina, Noel Mwandila, Pamoja na Nswajigwa Yanga hii ilikua hali tete mpaka wakaitwa wazee wa bakuli tofuati ya Yanga na Man utd ni fedha Yanga hawakua na fedha ila man utd wanampunga.

Pointi husika.Baada ya Gsm kutia miguu yao pale Yanga walifanya Overhaul ya timu nzima kuanzia Benchi la Ufundi mpaka wachezaji hawakuangalia majina kama sikosei alibaki mchezaji mmoja au wawili wengine wote mikataba yao ilivunjwa na wengine kutoongezewa mikataba Yanga walifanya maamuzi magumu kwa faida ya kesho Yondani, Abdul, Ngasa, Papy, kamusoko, Balinya, Urkobu, Lamine, Sibomana,Ally ally, Sonso(RiP), Kindoki,...nk hawa ni baadhi yao walioachwa Gsm walitoa ile kauli tuna mapenzi na Yanga na kuingiza majembe mapya.

Angalau tukaanza kuiona Yanga yenye Kutoa upinzani japo itachukua muda kurudi ile Yanga ya kampa kampa tena iliyomtoa jasho al ahly pale Uwanja wa jeshi Cairo.

Man Utd nao inabidi kufanya maamuzi magumu na kupitisha panga kali kuanzia wachezaji mpaka benchi la Ufundi ukiniuliza Mimi wachezaji wa kubaki pale hawafiki wanne, wengine waliobaki niwakupigwa panga tu hawana mapenzi na timu tena hawaijui dhamani ya jezi ya man utd ambayo akina Vidic, Ferdinand, Scholes, Rooney, Gigs...nk walitoa jasho la damu kuipigania.

Ni heri Man utd isishiriki michuano yoyote mikubwa ili kujipanga zaidi kwa msimu ujao.
 
Kabisa mkuu.......man u inabidi wafanye mapinduzi makubwa
 
Katika Wawili wale Wenye Akili hapo Ut0PoL0ni, Wewe haupo ..!
 
.... Pia tatizo sugu kwa timu za England zina tabia mbovu ya kuwakumbatia wachezaji wazawa wa England hata wanapokuwa msalaba kwenye timu.

Angalia sasa yule Maguire kitu gani cha kumfanya awe kwenye hiyo timu wakati yeye ndiye kinara wa beki mbovu ktk historia ya Man United au anasubiri hadi mashabiki wenye hasira wamlipue kwa mabomu.

Akina Matic, Pogba, Lindelof, Bailly, Sancho, Mata, Shaw, Cavani nk ni muda sasa waondolewe kwenye timu kwani hawana msaada wowote, wamekuwa ni mizigo tu.
 
Kwa matokeo ya leo ntakua nimeeleweka.
 
Manchester United leo hawakua na bahati
 
Vipi bado unasimamia kauli yako au umeshaitengua boss
 
Back
Top Bottom