Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

...Ila kwa kuwa wewe ndo unaonekana unataka kuanza ushabiki leo ndo mana kakwambia hivyo..
Vinginevyo shangilia Man Utd, utafurahi!!!

...anakudanganya huyo!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ha ha ha haaaaaa!
 
bj, uliona salamu tulizotuma jmosi kwa mtafuna big g. Yani, ngoja niweke pop corn kwenye microwave kabisaaa tayari kwa kuserebuka manake manake imarati hatoki mtu.

leo ipo kazi
 
BJ, Uliona salamu tulizotuma Jmosi kwa mtafuna Big G. Yani, ngoja niweke pop corn kwenye microwave kabisaaa tayari kwa kuserebuka manake manake Imarati hatoki mtu.

Shadow!

Naamini zilimfikia Fergie! Kweli mkishinda leo hapalaliki kuanzia hapa jamvini..Haya pasha moto mahanjumati ili mambo yawe sawa wakati wa mechi.
 
Manchester United

  • Edwin Van der Sar
  • Patrice Evra
  • Rio Ferdinand (c)
  • Nemanja Vidic
  • John O'Shea
  • Cristiano Ronaldo
  • Darren Fletcher
  • Oliveira Anderson
  • Ji-Sung Park
  • Michael Carrick
  • Wayne Rooney
...wapi Tevez, wapi Berbatov... biashara asubuhi nyie!!! kuanza na kuanza mnaanza na defence khaaaaaaa? 😱
 
...anakudanganya huyo!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ha ha ha haaaaaa!

Leo ndiyo leo, asemaye kesho ni muongo!..Haya enjoy the match,half time nitakuwa jamvini acha niangalie nataka niwe kocha nikistaafu kwasasa nipate uzoefu kidogo kidogo..he he
 
Dakika ya 7,

Gooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaal!

Arsenal 0 - 1 Man U
 
Oyeah Thank you Ronaldo leo kelele za wale jamaa hakuna....thank you
 
Shadow!

Naamini zilimfikia Fergie! Kweli mkishinda leo hapalaliki kuanzia hapa jamvini..Haya pasha moto mahanjumati ili mambo yawe sawa wakati wa mechi.

Baby njoo skype tuongee mapenzi wachovu hawa Arsenal wategemee miujiza isiyokuwepo!
 
This is unbearable to watch, am going to Starbuck for a cappuchino, there are other better things in life than stupid football!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…