Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Wazee game murua hili...total football...bahati mbaya kuna timu iko mbele kwa goli mbili kwa nunge! Not fair ingekuwa 0-0 kungekuwa na maatalaamu zaidi Man watapark bus muda si mrefu golini kwao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hey ladies and gents, what did I miss?
Don't tell me huangalii mpira!!?..its 2-0, Man U wanaongoza
I was being sarcastic, hehehe maana niliona baada ya kumshauri Exaud aangalie mechi awe entertained wanazi wa Arsenal wameniponda kwa kejeli hao sasa nashangaa hawajanijibu kulikoni? Naomba matokeo Mbu, BAK, Shadow, KKN najua watoto wa Imarati leo mnacheza FLAMBOYANT Football.

...oyaaaaaaaaaaaaa 😀 😀😀 mbona unachonga sana,...ndio kwanza 45za kwanza hizo,...Mbu is still... "buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing!"
Hey ladies and gents, what did I miss?
What a shame!?!Hongereni sana Man Utd!..Ushindi wa kiulaini
Tusubirie Kesho! huh..
What a shame!?!
GT yuko wapi?
Dah