Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

Hey ladies and gents, what did I miss?
 
Don't tell me huangalii mpira!!?..its 2-0, Man U wanaongoza

I was being sarcastic, hehehe maana niliona baada ya kumshauri Exaud aangalie mechi awe entertained wanazi wa Arsenal wameniponda kwa kejeli hao sasa nashangaa hawajanijibu kulikoni? Naomba matokeo Mbu, BAK, Shadow, KKN najua watoto wa Imarati leo mnacheza FLAMBOYANT Football.
 
baada ya ile mechi ya kwanza niliandika (thread ya man united fc) kuwa second leg man united will win 2:0 na ndo yanatimia.
 

...oyaaaaaaaaaaaaa πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€ mbona unachonga sana,...ndio kwanza 45za kwanza hizo,...Mbu is still... "buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing!"
 

Na Exaud mwenyewe kapotea baada ya kujikabidhi huko Imirati, surely kajitakia mwenyewe kutokulala leo..ha ha
Naona Mbu yupo yupo, wengine watakuja tu baada ya mechi au mtondo goo!..
Enjoy watching 2nd half mkuu..
 
...oyaaaaaaaaaaaaa πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€ mbona unachonga sana,...ndio kwanza 45za kwanza hizo,...Mbu is still... "buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing!"

Mboni una mihasira namna hiyo ebo? 2nd half anaingizwa The Terrier.
 
eh vipi wana Imarati mshaweka na mabomu au?
 
Haka kababu SAF si kitu, lazima katakuwa kachawi haka...haiwezekani kila gemu na kila competition kawe kanashinda tu year in year out...I mean, hata Manu wacheze vibaya vipi, watashinda tu...gademu
 
Mbona raha...this is humiliation siangalii tena Arsenal 3- Man U O...sorry reverse that...
 
Hongereni sana Man Utd!..Ushindi wa kiulaini

Tusubirie Kesho! huh..
 
Historia inaeleza kuwa Arsenal haijawahi kufuzu semi finial kwa kuishinda timu ya England na Man United haijawahi kutolewa CL na timu ya England. Hiyo ndo historia sasa ni 3:0 ili Arsenal asongembele lazima apige goli 5 na kwa mchezo huu almost impossible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…